Tag: Matthew 22: 37-40

  • The Greatest Command: Love

    37 Yesu akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na akili yako yote.’ 38 Hii ndiyo amri ya kwanza na ya muhimu zaidi. 39 Na amri ya pili ni kama ya kwanza: ‘Mpende jirani yako[a] kama unavyojipenda wewe mwenyewe.’ 40 Sheria yote na maandiko ya manabii yamejengwa katika amri hizi mbili.” Mathayo 22:37-40