37 Yesu akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na akili yako yote.’ 38 Hii ndiyo amri ya kwanza na ya muhimu zaidi. 39 Na amri ya pili ni kama ya kwanza: ‘Mpende jirani yako[a] kama unavyojipenda wewe mwenyewe.’ 40 Sheria yote na maandiko ya manabii yamejengwa katika amri hizi mbili.”
Mathayo 22:37-40
One response to “The Greatest Command: Love”
Ask Isa al Masih to show you better the various ways you can love your neighbour. Ask him to show you who your neighbours are. Ask him to help you become a person who loves.